Ni
matumaini yetu kuwa unaendelea vizuri kabisa na unayafurahia maisha yako kila
siku hali ya kuwa kuna baadhi wapo kweye changamoto tofauti tofauti kama vile
maradhi.
Siku chache
zilizopita ulipokea ujumbe wenye taarifa fupi kuhusu mabadiliko ya mfumo wa
upokeaji makala za afya kupitia mtandao wa AFYA NI YANGU, hii ni katika
kuboresha huduma hii kwa kila mwanafamifilia wa kundi hili.
Baada ya
taarifa hiyo tulitoa fursa kwa kila mwanafamilia wa mtandao wa Afya ya uzazi na
mtoto kuutumia muda huu kuuliza maswali kuhusiana na afya ya binadamu na kupatiwa
jibu sahihi la swali lako.
Siku chache
zilizopita baada ya taarifa hiyo haukupoke tena makala yoyote mpya kutoka kwetu
na hautapokea makala mpya kwa sasa hadi itakapofika tarehe 1/6/2017.
Kabla ya
tarehe hiyo utapokea ujumbe utakao elezea mfumo mpya wa upokeaji makala.
Rafiki
tumia fursa hii vyema kwani yawezekana ukakosa fursa pana kama hii ya kuuliza
maswali muda wowote, kulingana na ratiba ya wiki itakavyoonesha hapo baadae.
Tunakutakia
kila la kheri rafiki yetu, chukua maarifa kupitia mtandao huu kwa kuimarisha
afya yako na hata rafiki yako pia.
“Afya
bora ndio msingi wa mafanikio yako”
Kwa maoni, ushauri, TIBA NA DAWA, Piga simu namba: 0652028582 au 0652394698 au 0654502550.
Whatsap group: AFYA NI YANGU,
Facebook Page: AFYA NI YANGU.
#TRIPLE MINDED.